Ashiriki kumuua mama mkwe wake kwa tuhuma za ushirikina

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kushiriki mauaji hayo kwa kuwatumia vijana watatu wakishirikiana na mganga wa kienyeji