Bilioni 100 zatolewa kukabiliana na upandaji bei wa Mafuta Tanzania

Akiwasilisha taarifa ya hali ya mafuta bungeni, waziri Makamba amesema, ruzuku hiyo haita athiri miradi ya serikali inayoendelea na uamuzi huo ni hatua ya serikali ya muda mfupi kupunguza ongezeko la bei ya mafuta kabla ya Mwaka mpya wa fedha.