Tanzania yatuma risala za rambirambi kwa waathiriwa wa ajali ya ndege

Watanzania waliokuwa na majonzi Jumatatu walituma risla za rambi rambi kwa watu 19 waliofariki dunia wakati ndege ya abiria ilipotumbukia Ziwa Victoria katika ajali mbaya zaidi ya anga kuwahi kutokea kwa miongo kadhaa nchini humo. Ndege ya Precision Air kutoka mji mkuu wa kifedha wa Dar es Salaam ilianguka Jumapili asubuhi ilipokuwa ikijaribu kutua kaskazini … Continue reading Tanzania yatuma risala za rambirambi kwa waathiriwa wa ajali ya ndege