Tanzania yapiga hatua kupunguza vifo vya mama na mtoto
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022.
Pia Waziri wa wizara hiyo, Hamad Masauni ameliagiza jeshi hilo litumie taarifa ilizonazo kuwatafuta na kuwakamata wanaojihusisha kutengeneza magobore na lifanye mapitio ya sheria na kanuni ili kuona kama iko haja ya kuzifanyia marekebisho.
Leo Novemba 15, 2023 mahakamani hapo mjibu rufaa mmoja ambaye ni Sabaya pekee ndiye aliyekuwepo mahakamani, huku wajibu rufaa wenzake wawili wakidaiwa kuwa nje ya Arusha na wako njiani kurudi hivyo mahakama kuamua kuahirisha hadi Novemba 17,2023.
Tanzania imetajwa kuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopelekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini.
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapunguzia adhabu wasanii wa bongofleva nchini Tanzania, Whozu, Billnass na Mbosso na kuwataka wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa.
Matukio ya vifo hivyo yametokea kwa nyakati tofauti ikiwa ni sehemu ya madhara kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kutoa kipande cha plastiki kwenye pafu la kushoto la mtoto mwenye umri wa miaka 11, kupitia kifaa maalumu kinachoitwa Flexible Bronchoscopy.
Chama cha ACT Wazalendo kimeielekeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho kuichambua Miswada ya Sheria kuhusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni tarehe 10 Novemba 2023.
Washtakiwa hao ni waliokuwa askari kanzu watatu mwenye namba F 7149 D/Coplo Ramadhani Tarimo (42) maarufu kama Rasta na mkazi wa Kipawa; G 7513 D/Coplo Majid Abdallah(35) na mkazi wa Kunduchi na WP 6582 D/ Coplo Stella Mashaka ( 41) mkazi wa Railway.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa yasioambukiza Wizara ya Afya Dkt. Omary Ubuguyu katika uzinduzi wa madhimisho ya wiki ya magonjwa yasioambukiza iliyoandaliwa na Wizara ya Afya, Ofisi ya (TAMISEMI) uongozi wa Mkoa wa Dar es salaam pamoja na wadau wa huduma za magonjwa yasioambukiza.