• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Author: Asia Gamba

Mdude agoma kutoa simu kwa ajili ya uchunguzi polisi, ataka zichukuliwe kwa amri ya Mahakama.
Africa East Africa

Mdude agoma kutoa simu kwa ajili ya uchunguzi polisi, ataka zichukuliwe kwa amri ya Mahakama.

Asia GambaJuly 18, 2023July 18, 2023

Mwanaharakati na kada wa CHADEMA Mdude Nyagali ameijibu barua ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai mkoani Mbeya, iliyomtaka kukabidhi simu zake na vifaa vingine vya kielektroniki kwa ajili ya kufanyia uchunguzi kuhusiana na kauli na machapisho aliyoyatoa mnamo tarehe 9 Julai,2023.

Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka  ashikiliwa na Polisi Arusha.
Africa East Africa

Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ashikiliwa na Polisi Arusha.

Asia GambaJuly 17, 2023July 17, 2023

Madeleka kabla ya kukamatwa alilazimika kung’ang’ania kwa zaidi ya Dakika 30 katika chumba cha Mahakama (chember court) cha Jaji Aisha Bade ambaye awali ndiye alitoa maamuzi katika kesi yake ya kupinga makubaliano ya kukiri kosa.

Rais wa Hungary kutua Tanzania leo kwa ziara ya kikazi.
Africa East Africa

Rais wa Hungary kutua Tanzania leo kwa ziara ya kikazi.

Asia GambaJuly 17, 2023July 17, 2023

Rais  wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikazi ya siku nne.Kiongozi huyo anawasili nchini kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo takuwa nchini kwa siku nne kuanzia leo hadi Julai 20 mwaka huu

Mkakati wa kuutokomeza UKIMWI nchini Tanzania ifikapo 2030.
Africa East Africa

Mkakati wa kuutokomeza UKIMWI nchini Tanzania ifikapo 2030.

Asia GambaJuly 17, 2023July 17, 2023

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya nchini humo bi Ummy Mwalimu ambaye pamoja na mambo mengine ameeleza kuwa katika kutekeleza hayo Tanzania  imejipanga kuutokomeza UKIMWI kwa kuzingatia miongozo inayotolewa na Shirika la Afya Duniani, WHO kwa kuanzisha sera ya kupima na kutoa dawa kwa waathirika wa virusi hivyo.

Polisi yapiga marufu maandamano ya CCM ya kupongeza uwekezaji wa bandari.
Africa East Africa

Polisi yapiga marufu maandamano ya CCM ya kupongeza uwekezaji wa bandari.

Asia GambaJuly 17, 2023July 17, 2023

Hivi karibuni Mwenyekiti wa UVCCM, Mohammed Kawaida kupitia vyombo vya habari alitoa taarifa ya kuhamasisha maandamano ya kuunga mkono Serikali katika uwekezaji wa bandari yaliyotarajiwa kufanyika Wilaya zote kuanzia Julai 18 mwaka huu.

Ripoti: Watu bilioni 1.1 kati ya bilioni 6.1 wanaishi katika umasikini mkubwa
Africa Asia East Africa

Ripoti: Watu bilioni 1.1 kati ya bilioni 6.1 wanaishi katika umasikini mkubwa

Asia GambaJuly 11, 2023July 11, 2023

Kulingana na toleo hili la mwaka 2023, watu bilioni 1.1 kati ya bilioni 6.1 (zaidi ya 18%) wanaishi katika umaskini mkubwa wa pande nyingi katika nchi 110. 

Watatu wadaiwa kumbaka mwanafunzi mkoani Shinyanga
Africa East Africa

Watatu wadaiwa kumbaka mwanafunzi mkoani Shinyanga

Asia GambaJuly 11, 2023July 11, 2023

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia vijana watatu kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa shule ya sekondari Kishimba iliyopo Manispaa ya Kahama mkoani humo wakati akitoka dukani kununua vitu.

CCM yataka maoni chanya ya wananchi kuhusu mkataba wa bandari yasikilizwe.
Africa East Africa

CCM yataka maoni chanya ya wananchi kuhusu mkataba wa bandari yasikilizwe.

Asia GambaJuly 11, 2023July 11, 2023

Wito huo umetolewa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan kilichofanyika Julai 09, jijini Dodoma.

Mawaziri SADC wajadili hali ya amani DRC na Msumbiji
Africa East Africa

Mawaziri SADC wajadili hali ya amani DRC na Msumbiji

Asia GambaJuly 11, 2023July 11, 2023

Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi Ndaitwah ambapo pamoja na mambo mengine, amezisihi Nchi wanachama wa SADC kuendelea kushirikiana na DRC pamoja na Msumbiji na kuhakikisha kuwa hali ya amani inarejea.

Ummy:Punguzeni semina wananchi wapate huduma
Africa East Africa

Ummy:Punguzeni semina wananchi wapate huduma

Asia GambaJuly 11, 2023July 11, 2023

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini humo kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo