Mwenyekiti wa zamani wa IEBC Wafula Chebukati afariki
Chebukati alifariki jana Alhamisi jioni wakati akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi baada ya kuugua kwa muda