Kevin McCarthy apoteza kura ya 11 ya uspika Marekani, Je atashinda nafasi hiyo?
Kundi la wabunge 20 wenye msimamo mkali wa chama chake cha Republican wamekataa kumpa McCarthy kura 218 zinazohitijaka kumfanya spika wa bunge hilo.