Dawa Ya Kupunguza Uzani Kuuzwa Rasmi Nchini China
Wegovy iliidhinishwa kutumika nchini Uchina mnamo Juni, na vyombo vya habari vya ndani viliripoti kwamba agizo la kwanza katika hospitali ya umma lilitolewa huko Shanghai Jumatatu.