Wakenya kutoa maoni kuhusu hoja ya kumbandua makamu wa rais Gachagua
Maoni hayo yanaweza tolewa kupitia mtandano kwa anwani; impeachment@parliament.go.ke kufikia Oktoba 5, 2024 saa kumi na moja jioni.