Israeli yawaachilia huru wafungwa 90 wa Kipalestina
Wafungwa wote “waliachiliwa kutoka gereza la Ofer na kituo cha kizuizini cha Jerusalem”,
Wafungwa wote “waliachiliwa kutoka gereza la Ofer na kituo cha kizuizini cha Jerusalem”,
Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israeli, amesema kuwa maafisa wa serikali yake wameafikiana kuhusu mpango wa kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka licha ya mivutano iliyoshuhudiwa dakika za mwisho.