#KENYA: Mwanamke anayedaiwa kumuua na kula sehemu za mwili wa mtoto wake amezuiliwa kwa siku 10
“Ninajichukia mwenyewe. Sijipendi ndio maana niliuawa mtoto wangu. Nimepitia magumu na huyu mtoto,” mwanamke huyo alisema
“Ninajichukia mwenyewe. Sijipendi ndio maana niliuawa mtoto wangu. Nimepitia magumu na huyu mtoto,” mwanamke huyo alisema
Kiongozi huyo wa madhehebu alikamatwa Aprili 14 kufuatia taarifa iliyodokeza kuwepo kwa makaburi mafupi yenye miili ya baadhi ya wafuasi wake
Polisi wa Kenya walisema Ijumaa kwamba wamefukua miili mitatu, ambayo inakisiwa kuwa wafuasi wa dhehebu la kidini ambao waliaminika kujiua kwa njaa, huku wakiongeza uchunguzi
Sports Minister Ababu Namwamba said Kenya was targeting 3,445 tests a year — compared to the current 1,000 — for its 37,900 athletes and support personnel
Utafiti huo ulifanyika kati ya Machi 11 hadi Machi 19, 2023
“By the end of next week, the prices of maize flour will go down owing to the arrival of imported maize flour”- Ruto said
Inadaiwa kuwa Mchungaji Mackenzie anawahadaa wenyeji kupitia mafundisho potofu, yaliyokithiri ya kidini na hofu ya wasiojulikana katika harakati za kutafuta wokovu, na kusababisha vifo vya wengi.
Wafugaji hao 32 walikamatwa katika operesheni ya kijasusi siku ya Jumamosi, kufuatia majibizano ya risasi katika wilaya ya Moroto kaskazini mashariki mwa Uganda
Mafuta na ushuru vimetajwa kuwa vipengele vinavyosababisha gharama ya juu ya umeme
AfDB inasema Ketraco bado haijalipa familia zilizoathiriwa Sh64.719 milioni ili kuandaa njia ya kukamilika kwa laini hiyo kwa upande wa Kenya