Watu zaidi ya 50 wafariki katika ajali ya meli Ziwa Kivu, Kongo
Maiti zaidi ya 20 zimeopolewa baada ya meli kupinduka kwenye ziwa kivu. Watu kadhaa bado hawajulikani walipo katika mkasa huo mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika taifa hilo linalokabiliwa na miundombinu duni