DR Congo yafuzu kushiriki kombe la dunia
Timu ya taifa ya mchezo wa soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imefuzu kwenye fainali ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza, baada ya miaka 52, baada ya kuifunga Jamaica bao 1-0.