Ushuhuda Mjamzito Kujifungulia Njiani, Kisa Ubovu Wa Barabara Ya Mbeya – Njombe
wananchi wamesema barabara zimekuwa mbovu hasa msimu wa mvua kiasi cha kuwafanya baadhi ya wanawake kujifungulia njiani wakati wakienda kutafuta huduma za kiafya