Mahakama ya Kenya Kutoa Uamuzi Kuhusu Ombi la Kuzuwia Kuondolewa kwa Naibu Rais Gachagua
Rais Ruto hajazungumzia hadharani kuhusu kutimuliwa kwa Naibu wake Rigathi Gachagua.