Watanzania wawili wakamatwa Kenya na pembe ya Ndovu
Polisi nchi Kenya kwa ushirikiano na maafisa wa kulinda wanyama pori KWS wamewakamata washukiwa wawili wakiwa na meno ya tembo.