Kenya yazindua mradi wa reli ya kisasa kutoka Naivasha hadi Malaba
Kenya inaanzisha upya upanuzi wa reli yenye thamani ya mabilioni ya Dola ambao ulifadhiliwa kupitia uwekaji wa mapato na hapo kufufua mradi ambao umekwama kwa zaidi ya miaka sita.