Tanzania yaweka mikakati kabambe ya kutokomeza UKIMWI
Aidha, ametoa wito kwa vijana kujitambua, kujithamini na kutunza maisha yao kwa kujikinga na maambukizi mapya ya VVU kwa kuwa kasi ya maambukizi katika kundi la vijana bado inaonekana kuwa kubwa