Benki ya Dunia yazuia PwC Kenya na Rwanda kutokana ulaghai wa mradi wa umeme
Benki ya Dunia imezizuia PwC Kenya, PwC Rwanda na PwC Associates Africa kushiriki katika miradi inayofadhiliwa na taasisi hiyo kwa muda wa miezi 21 kutokana na ulaghai wa mradi wa umeme wa kikanda nchini Ethiopia.