visual-link-preview
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6121Kampuni Ya, Bang Bet imetangaza kuwa itafadhili madereva wawili wa Mbio Za safari Rally, Gerald Maina, na John Ngugi Katika awamu ya mwaka huu la Mashindano ya Ubingwa wa Dunia (WRC) ya safari rally yatakayofanyika Kaunti ya Nakuru kati ya tarehe 22 na Tarehe 25 Juni 2023.<\/p>\n\n\n\n
Mkurugenzi Mtendaji wa Bang Bet Leonardo Varese alisema lengo kuu la ufadhii huu ni kuhakikisha wanaboresha na kukuza talanta kwa wapenzi wa safari rally.<\/p>\n\n\n\n
\u2018\u2019 Huu ni mchezo wa gharama kubwa. Kwa hivyo tunatafuta watu ambao wana hari na hamu ya kuendesha gari na labda hawana rasilimali kamili ya kutosha na wanahitaji kuongezwa kupigwa jeki kidogo. Kwa hivyo hawa jamaa (Gerald na John) wameomesha uelediwao na kwa hivyotumewaweka katika mpango wetu\u2019\u2019. Alisema Bw. Leonardo<\/p>\n\n\n\n
Dereva was safari rally bwana John Ngugi alitoa shukrani zake kwa Kampuni hiyo akisema anatumai kuwa na safari njema wakati mashindano ya safari rally ya WRC litakaporejea wiki Ijayo.<\/p>\n\n\n\n
\u2018\u2019 Mchezo huu wa safari Rally ni ghali sana. Kwa hivyo tunawashukuru sana Bangbet kwa kutukabidhi chapa yao. Letu ni kuwaonyesha kuwa tuko tayari kwa kazi hiyo\u2019\u2019 Alisema Ngugi<\/p>\n\n\n\n
Ngugi atashiriki mbio hizo akitumia gari la Subaru Impreza N16 iliyokuwa inamilikiwa na Don Smith. Awali alikuwa akitumia gali la Mitsubishi Evo 9<\/p>\n\n\n\n
Maina, kwa upande mwingine, atakuwa akiendesha Mitsubishi Evo 9 na atashiriki kwa Mara ya Kwanza kwenye Mashindano ya Safari tangu kurejeshwa kwenye kalenda ya WRC.<\/p>\n\n\n\n
\u2018\u2019Tangu BangBet ilipokuja, tulianza maandalizi yetu kwa sababu hatukuwa na matumaini ya kupata mfadhili mapema. Kwa hivyo tulifurahi walipokuja wakisema watatupatia ufadhili. Kusema kweli, tuna furaha sana\u2019\u2019. Alisema Maina<\/p>\n\n\n\n
Hili litakuwa awamu 70 ya Mashindano ya Dunia ya safari Rally.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"
Kampuni Ya, Bang Bet imetangaza kuwa itafadhili madereva wawili wa Mbio Za safari Rally, Gerald Maina, na John Ngugi Katika awamu ya \u00a0mwaka huu la Mashindano ya Ubingwa wa Dunia (WRC) ya safari rally yatakayofanyika Kaunti ya Nakuru kati ya tarehe 22 na Tarehe 25 Juni 2023.<\/p>\n","protected":false},"author":15,"featured_media":15430,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"footnotes":""},"categories":[55],"tags":[],"class_list":["post-15429","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sports"],"rttpg_featured_image_url":{"full":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1.jpeg",1280,853,false],"landscape":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1.jpeg",1280,853,false],"portraits":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1.jpeg",1280,853,false],"thumbnail":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1-150x150.jpeg",150,150,true],"medium":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1-300x200.jpeg",300,200,true],"large":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1-1024x682.jpeg",640,426,true],"1536x1536":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1.jpeg",1280,853,false],"2048x2048":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/06\/WhatsApp-Image-2023-06-18-at-7.28.40-AM-1.jpeg",1280,853,false]},"rttpg_author":{"display_name":"Kevin Sewe","author_link":"https:\/\/mwanzotv.com\/author\/kevin-sewe\/"},"rttpg_comment":0,"rttpg_category":"Sports<\/a>","rttpg_excerpt":"Kampuni Ya, Bang Bet imetangaza kuwa itafadhili madereva wawili wa Mbio Za safari Rally, Gerald Maina, na John Ngugi Katika awamu ya \u00a0mwaka huu la Mashindano ya Ubingwa wa Dunia (WRC) ya safari rally yatakayofanyika Kaunti ya Nakuru kati ya tarehe 22 na Tarehe 25 Juni 2023.","_links":{"self":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15429","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/users\/15"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=15429"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15429\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":15434,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15429\/revisions\/15434"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15430"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=15429"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=15429"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=15429"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}