visual-link-preview
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6121Taasisi ya Saratani Ocean Road yaanza kutoa za Huduma za urekebishaji wa mfumo wa nyongo iliyoziba pasipo upasuaji ambapo mfumo huo unapoziba kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo saratani kusababisha manjano na muwasho mkali mwili mzima pamoja homa kali wakati mwingine kwa mgonjwa husika. <\/p>\n\n\n\n
Huduma hiyo mpya imeanza kutolewa hivi karibuni na Wataalam wa Radiolojia tiba wakiongozwa na daktari bingwa na mbobezi wa radiolojia tiba Dkt. Latifa Rajab kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road baada ya daktari huyo kurejea kutoka masomoni. <\/p>\n\n\n\n
Aidha huduma hizi hufanywa kwa utaratibu wa mirija kupelekwa kwenye tumbo kwa kuangalia kupitia mashine ya x ray na ultrasound ili kuhakikisha mirija limefika na nyongo inaenda katika njia yake. Huduma hiyo mpya imeanza kutolewa hivi karibuni na Wataalam wa Radiolojia tiba wakiongozwa na daktari bingwa na mbobezi wa radiolojia tiba Dkt. Latifa Rajab kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road baada ya daktari huyo kurejea kutoka masomoni.\u00a0<\/p>\n","protected":false},"author":9,"featured_media":15904,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"footnotes":""},"categories":[37,112],"tags":[70,2481],"class_list":["post-15903","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-africa","category-east-africa","tag-tanzania","tag-tanzania-news"],"rttpg_featured_image_url":{"full":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road.jpg",640,640,false],"landscape":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road.jpg",640,640,false],"portraits":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road.jpg",640,640,false],"thumbnail":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road-150x150.jpg",150,150,true],"medium":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road-300x300.jpg",300,300,true],"large":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road.jpg",640,640,false],"1536x1536":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road.jpg",640,640,false],"2048x2048":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2023\/08\/ocean-road.jpg",640,640,false]},"rttpg_author":{"display_name":"Asia Gamba","author_link":"https:\/\/mwanzotv.com\/author\/asia-gamba\/"},"rttpg_comment":0,"rttpg_category":"Africa<\/a> East Africa<\/a>","rttpg_excerpt":"Huduma hiyo mpya imeanza kutolewa hivi karibuni na Wataalam wa Radiolojia tiba wakiongozwa na daktari bingwa na mbobezi wa radiolojia tiba Dkt. Latifa Rajab kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road baada ya daktari huyo kurejea kutoka masomoni.\u00a0","_links":{"self":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15903","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/users\/9"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=15903"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15903\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":15905,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15903\/revisions\/15905"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15904"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=15903"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=15903"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=15903"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}
\u201cNyongo ikiwa nyingi inasabisha madaktari bingwa wa saratani kushindwa kumpa tiba mgonjwa huyu hivyo, kwa kupata huduma hii nyongo inashuka kuwa kawaida ndani ya siku chache kisha mgonjwa ataendelea na matibabu yake ya saratani na kumuepushia adha ya muwasho na manjano na pengine kifo kutokana na vimelea (bacteria) kuzaliana katika mirija ya nyongo iliyoziba\u201d, <\/em><\/strong>ameeleza Dkt. Latifa. Dkt. Latifa amesisitiza kuwa sasa kazi imeanza na mambo yote yatamalizika katika Taasisi ya Saratani Ocean Road hapa nchini.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"