visual-link-preview
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6121Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi wake kuhusu kutoweka kwa matumaini ya mageuzi katika sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.\u00a0<\/span><\/p>\n Chama hicho kimesema kuwa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, haikugusia mabadiliko yoyote muhimu kwenye sheria za uchaguzi, jambo ambalo linadhihirisha kuwa serikali haina mpango wa kuboresha mchakato wa uchaguzi.<\/span><\/p>\n Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Issihaka Mchinjita, amesema chama kitendelea kupigania mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi.\u00a0<\/span><\/p>\n ACT Wazalendo wanasisitiza kuwa uchaguzi ujao unahitaji mabadiliko ya kweli ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote vya siasa.<\/span><\/p>\n Akizungumzia kuhusu hali ya usalama wa raia nchini amesema\u00a0 imeendelea kuzorota kwa kiwango cha kutisha katika mwaka 2024\/25, ambapo matukio ya utekaji, kupotea kwa watu na mauaji ya kikatili yameripotiwa waziwazi bila hatua madhubuti kuchukuliwa.\u00a0<\/span><\/p>\n Mchinjita ambaye ni Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, amesema Tanzania imeingia katika orodha ya nchi ambazo usalama wa binadamu unazidi kuwa wa mashaka, huku raia wakitekwa mchana kweupe, wakiuawa kwa mazingira ya kutatanisha au wakipotea bila maelezo ya Serikali.<\/span><\/p>\n \u201cMatukio haya yanaakisi udhaifu wa vyombo vya usalama na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Mwenyekiti wetu wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo alitekwa na kutelekezwa. Hadi leo hii Deusdedit Soka na wenzake hawajulikani waliko baada ya kuitwa na Polisi,” <\/b>alisema Mchinjita.<\/span><\/p>\n Katika kukabiliana na matukio ya utekaji, Mchinjita amemtaka Rais Samia aunde tume ya kijaji ili ichunguze matukio yote ya utekaji, mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wananchi. Pia aweke wazi ripoti ya tume ya haki jinai na kufanyia kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume hiyo kuhusu mfumo wa haki jinai.<\/span><\/p>\n Itakumbukwa kuwa hotuba ya Mchinjita aliyoitoa leo ni baada ya hotuba ya Jana Aprili 09, 2025 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa aliyowasilisha bungeni hotuba yake ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025\/2026, na leo Bwana Mchinjita amekuja na hotuba mbadala .<\/span><\/p>\n Hotuba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ilieleza kuwa hali ya usalama nchini imeimarika hususani kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi\u00a0<\/span><\/p>\n <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":" Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi wake kuhusu kutoweka kwa matumaini ya mageuzi katika sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.\u00a0<\/p>\n","protected":false},"author":9,"featured_media":26180,"comment_status":"closed","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"footnotes":""},"categories":[112,109,4654],"tags":[],"class_list":["post-26179","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-east-africa","category-politics","category-tanzania-news"],"rttpg_featured_image_url":{"full":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d.jpg",2560,1812,false],"landscape":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d.jpg",2560,1812,false],"portraits":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d.jpg",2560,1812,false],"thumbnail":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d-150x150.jpg",150,150,true],"medium":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d-300x212.jpg",300,212,true],"large":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d-1024x725.jpg",640,453,true],"1536x1536":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d-1536x1087.jpg",1536,1087,true],"2048x2048":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2025\/04\/dbc291e2-3b9c-4513-bf28-1f1e01c7d94d-2048x1450.jpg",2048,1450,true]},"rttpg_author":{"display_name":"Asia Gamba","author_link":"https:\/\/mwanzotv.com\/author\/asia-gamba\/"},"rttpg_comment":0,"rttpg_category":"East Africa<\/a> Politics<\/a> Tanzania<\/a>","rttpg_excerpt":"Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi wake kuhusu kutoweka kwa matumaini ya mageuzi katika sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.\u00a0","_links":{"self":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/26179","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/users\/9"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=26179"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/26179\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":26181,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/26179\/revisions\/26181"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media\/26180"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=26179"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=26179"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=26179"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}<\/span><\/p>\n