visual-link-preview
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6121Huku wapenzi nchini Thailand wakijiandaa kuonyeshana mapenzi katika Siku hii ya Wapendanao, mamlaka ya afya inawataka wanandoa kushiriki ngona salama huku wakichukua tahadhari waepuke kuambukizana UVIKO 19 — ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa wakati wa kujamiana.<\/p>\n\n\n\n
Idadi ya visa vya maambukizi ya kila siku vya UVIKO 19 katika nchi hiyo ambayo ni kitovu cha utalii katika eneo hilo la Kusini-mashariki mwa Asia imepanda kutoka takriban 8,000 mwanzoni mwa mwezi hadi karibu mara mbili katika wiki mbili zilizopita.<\/p>\n\n\n\n
Mamlaka za afya zimeelezea wasiwasi kwamba tarehe 14 Februari inaweza kuzidisha hali hiyo, huku wakikubali watu wanashiriki kitendo cha ndoa katika siku zingine pia.<\/p>\n\n\n\n
\u201cUVIKO 19 sio ugonjwa wa zinaa, lakini mtu anaweza kuambukizwa ugonjwa huo kupitia kupumua kwa karibu na kubadilishana mate,\u201dMkurugenzi wa Ofisi ya Afya ya Uzazi Bunyarit Sukrat aliiambia AFP Ijumaa.<\/p>\n\n\n\n
Alipendekeza wanandoa kufanya vipimo vya antijeni kabla kukutana ili kuzuia kupitisha virusi hivyo kwa wenzi wao.<\/p>\n\n\n\n
Wapenzi wanahimizwa \u201ckuepuka kushiriki ngono huku wakitazamana ana kwa ana na kubusiana sana,\u201d na kuhakikisha wanatumia kondomu na vidonge kuzuia mimba zisizopangiwa Bunyarit alisema.<\/p>\n\n\n\n
Siku ya Valentine ni maarufu sana nchini humo na inachukuliwa kuwa siku bora kwa wanandoa kufunga pingu za maisha.<\/p>\n\n\n\n
Mara nyingi kuna foleni ndefu katika ofisi za usajili wa ndoa, hasa katika wilaya ya Bangkok ya Bang Rak, ambayo hutafsiriwa kuwa \u201cwilaya ya mapenzi\u201d katika lugha ya Thai.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"
Mamlaka za afya zimeelezea wasiwasi kwamba tarehe 14 Feb inaweza kuzidisha idadi ya maambukizi ya UVIKO 19<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":6002,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"footnotes":""},"categories":[40,113,50],"tags":[2288,2287,1172,234,350,2286,2289],"class_list":["post-6001","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-asia","category-lifestyle-health","category-middle-east","tag-bang-rak","tag-bangkok","tag-covid-19-2","tag-mwanzo-tv","tag-mwanzotv-com","tag-thailand","tag-valentine-day"],"rttpg_featured_image_url":{"full":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss.jpg",382,213,false],"landscape":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss.jpg",382,213,false],"portraits":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss.jpg",382,213,false],"thumbnail":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss-150x150.jpg",150,150,true],"medium":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss-300x167.jpg",300,167,true],"large":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss.jpg",382,213,false],"1536x1536":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss.jpg",382,213,false],"2048x2048":["https:\/\/mwanzotv.com\/wp-content\/uploads\/2022\/02\/VALSss.jpg",382,213,false]},"rttpg_author":{"display_name":"Maureen Medza","author_link":"https:\/\/mwanzotv.com\/author\/medza\/"},"rttpg_comment":0,"rttpg_category":"Asia<\/a> Lifestyle & Health<\/a> Middle East<\/a>","rttpg_excerpt":"Mamlaka za afya zimeelezea wasiwasi kwamba tarehe 14 Feb inaweza kuzidisha idadi ya maambukizi ya UVIKO 19","_links":{"self":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6001","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=6001"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6001\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":6004,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6001\/revisions\/6004"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media\/6002"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=6001"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=6001"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/mwanzotv.com\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=6001"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}