Kenya yamrejesha Marekani mhalifu wa pili wa dawa za kulevya anayesakwa zaidi
Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemrejesha nchini Marekani Abdi Husein ili kujibu mashtaka ya uhalifu yanayohusisha ulanguzi wa dawa za kulevya na ujangili wa wanyamapori.