Jamhuri Yambana Lissu, Maswali Ya Dodoso
Lissu amesisitiza kuwa hana wajibu wa kuthibitisha kesi hiyo, akirejea misingi ya sheria ya ushahidi.
Lissu amesisitiza kuwa hana wajibu wa kuthibitisha kesi hiyo, akirejea misingi ya sheria ya ushahidi.
Lissu amewaambia majaji kwamba ushahidi alioutoa unaonyesha kuwa upande wa Jamhuri haujathibitisha vipengele muhimu vya kosa la uhaini, ikiwemo kuwepo kwa nia ya kutenda kosa hilo.
Tanzania’s Vice President Dr. Emmanuel John Nchimbi has resigned from office and announced his retirement from politics and public service, effective September 4, 2026.
Lissu amesema suala la uchaguzi na Katiba lilikuwa sehemu ya mjadala mpana ndani ya CHADEMA, na kwamba msimamo wa “No Reform, No Election” haukuanzishwa na yeye binafsi.
Waraka kutoka kwa msimamizi mkuu wa idara ya mahakama ulisema: “Kwa sababu za kiusalama, wafanyakazi wote wanashauriwa kutofika kazini leo.”
A memorandum from the chief administrator of the judiciary said that “for security reasons, all members of staff are advised not to report for work today”.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema kesi ya uhaini inayomkabili ni mwendelezo wa kesi mbalimbali za kisiasa ambazo amedai amekuwa akifunguliwa na Serikali kwa miaka mingi kutokana na misimamo na shughuli zake za kisiasa.
Cosplay has taken hold in Kenya, where fans must often get creative to dress up as their fantasy heroes.
Lissu amekuwa shahidi wa kwanza wa utetezi na ameanza kutoa ushahidi wake chini ya kiapo, akieleza kuwa hajawahi kutoa ushahidi mahakamani na hivyo kuomba aongozwe katika hatua hiyo.
Zambian police summoned opposition leader Brian Mundubile late Thursday for questioning over an alleged national security threat, days after an election marked by a crackdown on dissent.