Lissu Amaliza Kujitetea, Asema Hakuna Ushahidi wa Kuthibitisha Kosa la Uhaini
Lissu amewaambia majaji kwamba ushahidi alioutoa unaonyesha kuwa upande wa Jamhuri haujathibitisha vipengele muhimu vya kosa la uhaini, ikiwemo kuwepo kwa nia ya kutenda kosa hilo.