Tanzania
-

Mwabukusi ahojiwa kuhusu tuhuma za kufadhili maandamano ya Oktoba 29,2026
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametimiza wito wa Jeshi la Polisi na kuhojiwa kuhusu masuala mbalimbali, ikiwemo madai kwamba chama hicho kimeacha kutekeleza majukumu yake ya kitaaluma na badala yake…
-

#BREAKING: Tanzanian Bishop Blocked From Visiting Lissu In Prison
The opposition has demanded an explanation from the government and prison authorities, warning that the incident raises serious concerns about religious freedom and the treatment of political detainees.
-

Mwaka Mmoja Bila Polepole Uraiani, Yuko Wapi Kada Huyu wa CCM, Nani Alimteka?
Usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, taarifa za kutoweka kwake zilianza kusambaa baada ya familia kufika katika nyumba aliyokuwa akiishi eneo la Ununio, Kinondoni, Dar es Salaam, na kukuta mlango ukiwa umevunjwa, nyaya za umeme…
-

Speaker Wetang’ula Calls for Stronger EALA Role in East African Integration
National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has called on the East African Legislative Assembly (EALA) and parliaments across the region to rise to the occasion by translating regional policies into laws and supporting projects capable of…
-

Bunge La Ulaya Lawasilisha Rasmi Jina La Tundu Lissu Kwa Tuzo Ya Sakharov
Kwa kuwasilisha jina lake rasmi, Bunge la Ulaya linataka kuenzi ujasiri wa Lissu na kusisitiza kanuni kwamba uchaguzi una maana pale tu wananchi wanapopewa chaguo halisi la kisiasa.
-

Tundu Lissu’s Name Officially Tabled At Eu Parliament For Sakharov Honor
By officially submitting his name, the European Parliament seeks to honor Lissu’s courage and highlight the principle that elections only have meaning when citizens are offered a genuine political choice.
-

Ruto Aeleza Kwa Nini Lamu Ilikuwa Chaguo Bora Kwa Kiwanda cha Dangote
Rais William Ruto ameeleza kwa mara ya kwanza sababu zilizopelekea Kaunti ya Lamu nchini Kenya ikachaguliwa kama eneo bora zaidi kujengwa kiwanda cha kusafisha mafuta, akisema uamuzi huo ulitokana na tafiti za kitaalamu zilizoonyesha kuwa…
-

Tanzania High Court to Deliver Judgment in Tundu Lissu Treason Case on November 6
The High Court, Dar es Salaam Sub-Registry, is expected to deliver judgment in the treason case facing Chadema Chairman Tundu Antipas Lissu on November 6, 2026,
-

Mahakama Kutoa Hukumu Kesi ya Uhaini ya Lissu Novemba 6
Wakili Mkuu wa Serikali, Nassoro Katuga amesema ushahidi wa mashahidi 17 wa Jamhuri ukiungwa mkono na mashahidi watano wa utetezi ndio msingi wa hoja ya Jamhuri kwamba imethibitisha shtaka pasi na shaka.
-

Lissu: If It’s Treason, Convict Me. If Not, Acquit Me
CHADEMA Chairman Tundu Lissu has told the judges hearing his treason case not to hesitate to deliver the judgment deserved for treason, if they find that the evidence presented in court proves the offence.






