Brazil President Candidate Flavio Bolsonaro Targeted in Corruption Probe
The 45-year-old senator Flavio Bolsonaro was thrust into the electoral race after his father was jailed for attempting a coup after losing to Lula in the 2022 election.
The 45-year-old senator Flavio Bolsonaro was thrust into the electoral race after his father was jailed for attempting a coup after losing to Lula in the 2022 election.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, la kuwaita Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camilius Wambura, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai DCI Ramadhani Kingai na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama CDF. Generali Jacob John Mkunda, kuwa mashahidi wa upande wa utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Shahidi wa upande wa utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, John Heche, ameieleza Mahakama matukio mbalimbali ya mauaji, utekaji na kupotezwa kwa watu nchini, akitaja viongozi na wanachama wa vyama vya siasa waliopitia matukio hayo.
Heche alisema Kamati Kuu ya CHADEMA ilikutana Desemba 3, 2024 chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe na kujadili matukio hayo, kabla ya chama kuchukua msimamo wa kutaka mageuzi ya kikatiba na kisheria yafanyike kabla ya uchaguzi. Miongoni mwa mabadiliko aliyoyataja ni kuondoa baadhi ya mamlaka ya Rais na kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi.
Rupia pia alikiri kuwa CHADEMA inaamini katika demokrasia na kwamba Tanzania ina mfumo wa vyama vingi, huku akitambua kuwa uchaguzi mkuu unaendeshwa kwa mujibu wa Katiba na mabadiliko ya Katiba ni mchakato.
Brenda pia alikataa kwamba Chadema ilisusia uchaguzi wa mwaka 2025, akieleza kuwa kauli ya “No Reforms, No Elections” ililenga kushinikiza mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi.
Rupia alisema uamuzi wa kuitisha mkutano huo ulifanywa na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, pamoja na Sekretarieti ya chama.
Alifafanua kuwa Sekretarieti ni chombo cha utekelezaji kinachoshughulikia shughuli za chama kila siku, kikijumuisha Katibu Mkuu, manaibu wake wawili pamoja na wakurugenzi wa chama.
Golugwa amekiri kuwa katika taarifa hizo kulikuwa na msimamo wa Chadema wa kutoshiriki uchaguzi hadi Serikali itakaposhinikizwa kufanya mabadiliko. Alipoulizwa ni nani aliyepaswa kushinikizwa, alijibu kuwa ni Serikali.
The Tunisian Court of Cassation began hearing on Thursday the final appeal of dozens of opposition figures accused of plotting against the state, in a case condemned as political by activists.
A weeks-long political dialogue in Ethiopia has backed constitutional changes to create a new presidential system that could extend Prime Minister Abiy Ahmed’s control over the country.