Prof Kithure Kindiki aapishwa rasmi kuwa Naibu Rais
Kindiki akiandamana na mkewe Joyce amekamilisha kula viapo viwili akiongozwa na msajili wa idara ya mahakama Winfrida Mokaya.
Kindiki akiandamana na mkewe Joyce amekamilisha kula viapo viwili akiongozwa na msajili wa idara ya mahakama Winfrida Mokaya.
Upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini Mozambique umekuwa na vizuizi kwa mara ya pili ndani ya wiki moja, taarifa kutoka kwa shirika la kimataifa linalofuatilia masuala ya mtandao ilisema, wakati upinzani ukitoa wito wa mgomo wa kitaifa kufuatia uchaguzi wa rais uliozua utata.
Donald Trump pulled an election stunt with a garbage truck Wednesday as the White House campaign was forced off-piste by muddled remarks from President Joe Biden about the Republican’s supporters that caused a headache for Democratic candidate Kamala Harris.
Led by Kuria East Member of Parliament Marwa Gitayama, the lawmakers criticized the proposal of extending term limits in Kenya, stating that it is not a priority for Kenyans arguing that extending the term to seven years would not solve the pressing issues Kenyans face within five years.
Malawi opposition leader Patricia Kaliati appeared in a Lilongwe court on Monday, where she was formally charged with plotting to kill president Lazarus Chakwera.
Februari 24, 2021, aliyekuwa Rais wakati huo Hayati John Magufuli alitangaza kulivunja jiji la Dar es salaam na kupandisha moja kati ya manispaa zake kuwa jiji. Raisi Magufuli alitangaza uamuzi huo wakati wa uzinduzi wa daraja la juu la Kijazi lililopo Ubungo,hafla iliyohudhuriwa na viongozi waandamizi kadhaa wa Serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo ya Tanzania.
Upande wa mashtaka ulidai kuwa wanachama 16 wa chama kikuu cha upinzani cha National Unity Platform (NUP), pamoja na wengine ambao bado wanakimbia, walikutwa na vilipuzi kati ya Novemba 2020 na Mei 2021, wakati uchaguzi ukiendelea.
The prosecution alleged that the 16 members of the main opposition National Unity Platform (NUP), as well as others still on the run, were found in possession of explosives between November 2020 and May 2021, while elections were underway.
Akitoa taarifa hiyo mbele ya vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 21,2024, Waziri Mchengerwa amesema kati ya Watanzania waliojiandikisha, wanaume ni milioni 15,236,772 Sawa na asilimia 48.71 huku wanawake wakiwa milioni 16,045,559 Sawa na asilimia 51.29.
Polisi nchini Msumbiji walitumia gesi ya kutoa machozi leo Jumatatu kutawanya umati mdogo katika mji wa Maputo, ambapo maduka yalikuwa yamefungwa kabla ya maandamano yaliyoandaliwa kupinga udanganyifu wa uchaguzi.