Politics
-

LISSU: CDF.Mkunda, IGP.Wambura Na DCI Kingai Wako Nje Ya Nchi
Mashahidi watatu wa utetezi ambao Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, iliamuru waitwe kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu,imeelezwa kuwa wako nje ya nchi, hali iliyosababisha…
-

DCI Kingai Kuja Kumtetea Lissu Ijumaa?
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhani Kingai, anatazamiwa kutoa ushahidi wake wa utetezi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, siku ya Ijumaa, Septemba 18, 2026.
-

Heche: Lissu Hakutuambia Njia za Kuhamasisha Uasi
John Heche, ameiambia Mahakama Kuu kuwa licha ya kumsikia Lissu akizungumzia kuzuia na kuvuruga uchaguzi pamoja na kuhamasisha uasi, hakuwahi kuwaambia wao kama wafuasi au viongozi wa chama njia za kutekeleza kauli hizo.
-

Jamhuri Wamchimba Heche Kuhusu Utekwaji, Mali Zake Katika Kesi ya Lissu
Heche alisema hakuwahi kushuhudia mtu akitekwa kwa macho yake wala kumwona mtu akipotea, huku kuhusu baadhi ya matukio ya mauaji aliyoyataja akisema hakuwapo wakati yakitekelezwa.
-

Brazil President Candidate Flavio Bolsonaro Targeted in Corruption Probe
The 45-year-old senator Flavio Bolsonaro was thrust into the electoral race after his father was jailed for attempting a coup after losing to Lula in the 2022 election.
-

IGP Wambura, DCI Kingai, CDF Mkunda Kuja Kutoa Utetezi Dhidi ya Lissu
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, la kuwaita Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camilius Wambura, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai DCI Ramadhani Kingai na…
-

Heche Asimulia Matukio Ya Utekaji, Kesi Za Kisiasa Na Shambulio La Lissu
Shahidi wa upande wa utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, John Heche, ameieleza Mahakama matukio mbalimbali ya mauaji, utekaji na kupotezwa kwa watu nchini, akitaja viongozi na wanachama wa vyama…
-

Heche Aeleza Mauaji, Vurugu za Uchaguzi Katika Utetezi wa Lissu
Heche alisema Kamati Kuu ya CHADEMA ilikutana Desemba 3, 2024 chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe na kujadili matukio hayo, kabla ya chama kuchukua msimamo wa kutaka mageuzi ya kikatiba na kisheria yafanyike kabla ya…
-

Shahidi wa Nne, Brenda Rupia, Amaliza Kumtetea Lissu
Rupia pia alikiri kuwa CHADEMA inaamini katika demokrasia na kwamba Tanzania ina mfumo wa vyama vingi, huku akitambua kuwa uchaguzi mkuu unaendeshwa kwa mujibu wa Katiba na mabadiliko ya Katiba ni mchakato.
-

Shahidi: Nitaendelea Kuunga Mkono Kauli za Lissu za Aprili 3,2025
Brenda pia alikataa kwamba Chadema ilisusia uchaguzi wa mwaka 2025, akieleza kuwa kauli ya “No Reforms, No Elections” ililenga kushinikiza mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi.







