Politics
-

Shahidi: Lissu Hakuandaa Mkutano wa Aprili 3
Rupia alisema uamuzi wa kuitisha mkutano huo ulifanywa na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, pamoja na Sekretarieti ya chama. Alifafanua kuwa Sekretarieti ni chombo cha utekelezaji kinachoshughulikia shughuli za chama kila siku, kikijumuisha Katibu…
-

Jamhuri Yamuhoji Golugwa Kuhusu Madai ya Uchaguzi
Golugwa amekiri kuwa katika taarifa hizo kulikuwa na msimamo wa Chadema wa kutoshiriki uchaguzi hadi Serikali itakaposhinikizwa kufanya mabadiliko. Alipoulizwa ni nani aliyepaswa kushinikizwa, alijibu kuwa ni Serikali.
-

Tunisia Top Court Begins Final Hearing in Mass Trial of Opposition Figures
The Tunisian Court of Cassation began hearing on Thursday the final appeal of dozens of opposition figures accused of plotting against the state, in a case condemned as political by activists.
-

Ethiopia’s Abiy Could Consolidate Power as ‘Executive President’
A weeks-long political dialogue in Ethiopia has backed constitutional changes to create a new presidential system that could extend Prime Minister Abiy Ahmed’s control over the country.
-

Mnyika: No Reforms No Elections Ilikua Chini Ya Mwenyekiti Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, John Mnyika, ameendelea kuhojiwa kwa maswali ya dodoso na upande wa Jamhuri katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
-

Mnyika Atumia Hotuba Ya Nyerere Utetezi Kesi Ya Lissu, Aibua Kifo Cha Akwelina
“Kesi ni mwendelezo wa kuwabambikia viongozi wa CHADEMA kesi za uongo na mbinu za kukwamisha mabadiliko, ni matumizi yasiyo ya haki ya njia za kimahakama na kisheria dhidi ya wapinzani na CCM dhidi ya CHADEMA…
-
Lissu Ahitimisha Utetezi Baada Ya Siku Tano Mahakamani, Shahidi Mwingine Kuendelea
Lissu amepanga kuleta mashahidi 12 kwa ajili ya utetezi dhidi yake akiwemo na yeye mwenyewe huku, wengine wakiwa ni Viongozi wakuu wa serikali na Chama chake.
-

Dr. Emmanuel Nchimbi is not a sycophant – Warioba
”These days if you tell the truth, you are dubbed a mole.”
-

Jamhuri, Lissu Ngoma Nzito Kesi Yaahirishwa
Jamhuri imeonekana kulenga kutengeneza picha kwamba baadhi ya kauli na hoja zilizotolewa na Lissu katika utetezi wake zinapingana na ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka, huku Lissu akijibu kwa kusisitiza tafsiri yake ya matukio,…
-

Jamhuri Yambana Lissu, Maswali Ya Dodoso
Lissu amesisitiza kuwa hana wajibu wa kuthibitisha kesi hiyo, akirejea misingi ya sheria ya ushahidi.







