Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yapigwa kalenda tena, amlalamikia DPP kwa danadana
Kesi hiyo ilitajwa leo, Julai 15, 2025, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo Lissu alionesha wazi kutoridhishwa na hatua hiyo, akidai kuwa upande wa Jamhuri unatumia hila kuchelewesha mchakato wa haki.