People
-

Lissu Aanza Kujitetea Mwenyewe Kesi Ya Uhaini, Akumbushia Kupigwa Risasi
Lissu amekuwa shahidi wa kwanza wa utetezi na ameanza kutoa ushahidi wake chini ya kiapo, akieleza kuwa hajawahi kutoa ushahidi mahakamani na hivyo kuomba aongozwe katika hatua hiyo.
-

As Election Nears, Israelis Fear Polarisation Could Spark Violence
A recent poll by Israel’s Institute for National Security Studies (INSS) found that the scenario seen as most threatening over the next five years was “violent conflict between societal groups” — narrowly ahead of “Iran…
-

Mahakama Kuamua Iwapo Lissu ana Kesi ya Kujibu Baada ya Serikali Kufunga Ushahidi
Kupitia Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, Jamhuri imeiambia Mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi uliokwisha kutolewa na kuuchambua pamoja na ushahidi uliokuwa umebaki, imejiridhisha kuwa hakuna sababu ya kuendelea kuwaita mashahidi wengine.
-

Shahidi Akwamisha Kesi ya Lissu, Mahakama Yaahirisha hadi Jumatatu
Lissu ameendelea kupinga kuahirishwa kwa kesi hiyo akidai kuwa upande wa Jamhuri umekuwa ukiomba kuahirishwa kwa kesi mara kwa mara bila Mahakama kuchukua hatua dhidi yao.
-

Shahidi wa Kificho Asema Ana Hofu Kutoa Ushahidi Hadharani Katika Kesi ya Uhaini ya Lissu
Shahidi wa kificho katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameieleza Mahakama Kuu kuwa ana hofu ya kutoa ushahidi wake hadharani, akisema suala hilo ni “very sensitive” na kwamba wafuasi wa chama…
-

Lissu Ahoji Ushahidi wa Shahidi Kutofautiana na Maelezo ya Ushahidi Uliopo Mahakamani
Shahidi alikiri kuwa jina la Tundu Lissu lilikuwepo katika maelezo hayo, lakini alikanusha kuwa aliandika kwamba aliona jalada lililomtaja Tundu Antipus Lissu alipofika kwa Naibu ZCO George Bagemu.
-

Israel objects to US-backed Gaza plan, defiant on pullout
Netanyahu’s office demanded “verifiable” disarmament by Hamas, which on Friday announced it would give up weapons under the Trump plan to a nascent Palestinian governing committee.
-

DR Congo Ebola Outbreak Tops 3,500 Cases
Ebola, which spreads through contact with bodily fluids and causes haemorrhagic fever, has killed more than 15,000 people across Africa over the past 50 years. The deadliest outbreak in the DRC killed nearly 2,300 people…









