Imefichuliwa:Jinsi Rais Ruto Anadaiwa Kuchangia Odinga Kufutwa Kazi Umoja Wa Afrika (AU)
Duru za kuaminika kutoka ofisi ya Umoja wa Afrika (AU) zinadai kuwa Odinga “Kufutwa kazi” kulitokana na kile kinachotajwa kama msururu wa siasa ambazo waziri huyo mkuu wa zamani wa Kenya amekuwa akifanya nchini humo.