Rais William Ruto Awasili Guinea Bissau kwa ziara ya Kikazi
Rais William Ruto lwa kenya Alhamizi jioni amewasili nchini Guinea Bissau, baada ya kukamilisha ziara rasmi nchini Ghana.
Rais William Ruto lwa kenya Alhamizi jioni amewasili nchini Guinea Bissau, baada ya kukamilisha ziara rasmi nchini Ghana.
As the WRC Safari Rally Kenya kicks off amidst a flurry of excitement and anticipation, all eyes are on the dynamic duo, Josiah Kariuki and John Ngugi, who are primed to make waves in this thrilling motorsport spectacle
Kenyan opposition leader Raila Odinga has declared his candidature for the position of chairmanship of the African Union Commission.
Mobile internet access in Senegal was suspended on Tuesday for the second time this month, the communications ministry said, after authorities banned a march against the delay to February’s presidential election.
The UN Security Council said it was concerned by “escalating violence” in the eastern Democratic Republic of Congo on Monday, condemning in a statement the offensive launched earlier this month by M23 rebels near the city of Goma.
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya vijijini umemchagua Getruda Japhet Lengesela, kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo (Mbeya vijijini)
Hosts Ivory Coast put a disastrous group campaign behind them on Monday to beat holders Senegal 5-4 on penalties and book an Africa Cup of Nations quarter-final against Mali or Burkina Faso.
Timu ya taifa stars ya Tanzania itashuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Vijana kutoka DR congo katika mchuano wa kufa mtu ambayo Tanzania lazima washinde ili kufuzu raundi ya 16 bora ya muondoano.
Maandamano ya Chadema inazidi kuchacha moto nchini Tanzanaia.Tayri maeneo kadha yameshuhudia idadi kubwa ya waandamanaji ikiwemo Mbeya na Dar Es Saalam.
CHADEMA, Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kimepata uongozi mpya kwa ajili ya kuongoza Chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ambapo kimeahidi kuwaunganisha wanachama na wananchi ambao ndio chanzo cha nguvu ya umma.