Chadema Yaanza Mchakato Mzima Kuelekea Uchaguzi Mkuu
CHADEMA, Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kimepata uongozi mpya kwa ajili ya kuongoza Chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ambapo kimeahidi kuwaunganisha wanachama na wananchi ambao ndio chanzo cha nguvu ya umma.