Azma Ya Raila Odinga AU Yazidi Kung’aa
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia, Fawzia Yusuf Adam, amemuidhinisha Kiongozi wa Muungano wa Azimio nchini Kenya Raila Odinga kuwania kiti cha mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AU)