Ronaldo amehimizwa kuangazia masuala ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 aliondoka Manchester United mwezi Novemba baada ya mahojiano ya mlipuko ambapo aliikosoa klabu na meneja Erik ten Hag