Misri na Senegal wafuzu kushiriki nusu fainali ya AFCON
Shirikisho la Soka Afrika lilisema kuwa nusu fainali ya pili tarehe Februari 3 kati ya wenyeji na Misri na fainali Februari 6 itafanyika katika uwanja wa Olembe