Timu ya soka ya Uganda yajiondoa kwenye michuano ya CHAN
Timu ya taifa ya kandanda ya Uganda, Cranes, imejiondoa katika michuano ya Mataifa ya Afrika kutokana na ukosefu wa fedha