BEI MPYA ZA MAFUTA ZASITISHWA TANZANIA
Serikali imesitisha bei za mafuta zilizokuwa zianze kutumika Jumatano Septemba 1, na kuunda timu itakayochunguza sababu za ongezeko la bei ya mafuta.