katiba mpya
-

Has the Tanzanian Government started opening up to ‘Katiba mpya sasa’?
The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) said earlier this week it had agreed to revive a stalled process to review the constitution “for the greater national interest”.
-

“Hamna tofauti kati ya uongozi wa Magufuli na wa Rais Samia Suluhu Hassan”Freeman Mbowe
Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimekuwa kikiendeleza msukumo wa kupatikana kwa katiba mpya nchini humo. Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe kwa sasa anazuiliwa na polisi kwa madai ya uhaini baada ya…







