Kenya Airways yachapisha hasara mbaya zaidi kuwahi kutokea
Ni mwaka wa 10 mfululizo wa hasara kwa shirika hilo la ndege, ambalo lilichapisha faida mara ya mwisho mnamo 2012
Ni mwaka wa 10 mfululizo wa hasara kwa shirika hilo la ndege, ambalo lilichapisha faida mara ya mwisho mnamo 2012
Jaji Anna Mwaure siku ya Jumanne aliamuru “marubani wa Kenya Airways kurejelea majukumu yao kama marubani ifikapo saa 12 asubuhi tarehe 9 Novemba 2022 bila masharti”