Ujumbe wa Marekani utakaohudhuria uapisho wa William Ruto
Rais wa Marekani Joe Biden ameweka wazi watu watano watakaomwakilisha katika uapisho wa William Ruto.
Rais wa Marekani Joe Biden ameweka wazi watu watano watakaomwakilisha katika uapisho wa William Ruto.
Jaji mkuu Martha Koome amesema walalamishi walikosa kutoa ushahidi wa kutosha kuonyesha uchaguzi haukuwa wa haki.
Tume ya IEBC imekuwa ikishinikizwa kuandaa uchaguzi wa uwazi, huru na haki baada ya mahakama kufuta ushindi wa rais Uhuru Kenyatta mwaka wa 2017.
Maswali yaibuka kuhusu jinsi jina la raia wa Venezuela ilivyopatikana katika fomu 34A.
Tume ya IEBC imefungua sava na kupisha zoezi la uhakiki kuanza
Jaji mkuu nchini Kenya Martha Koome aorodhesha mambo tisa ambayo mahakama ya juu zaidi itatoa uamuzi kuyahusu katika kesi ya urais.
Baraza la kitaifa la usalama Kenya limepinga kujaribu kuitilafiana na matokeo ya urais.
Kiongozi wa Azimio la umoja raila Odinga amewataka wakenya kudumisha amani wakati akiendelea kutatafuta haki mahakamani.
Mgombea mwenza wa Azimio la Umoja Martha Karua amemkashifu rais mteule William Ruto kwa kile ametaja kama kwenda kinyume na sheria ya Kenya katika kuvutia upande wake vyama washirika wa Azimio la Umoja.
Wakenya wanasubiri kuona jinsi mahakama ya upeo itashughulikia kesi ya urais iwapo Raila Odinga atawasilisha kesi mahamani,