Polisi wamkamata mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Makerere anayedaiwa kumpiga mwanafunzi kofi
Polisi mjini Kampala wamemkamata mhadhiri wa chuo kikuu cha Makerere Bernard Wandera kwa tuhuma za kumpiga mwanafunzi kofi