Nairobi imeorodheshwa juu zaidi katika mauaji ya polisi mwaka wa 2022 – ripoti imefichua
Nairobi ilirekodi visa 53 vya mauaji ya polisi huku nyingi zikiwa ni matokeo ya oparesheni za kupinga uhalifu