Bali kumfurusha mtu aliyecheza uchi kwenye mlima mtakatifu
Jeffrey Craigen alichapisha video akicheza Haka, akiwa uchi juu ya Mlima Batur, mlima unaochukuliwa kuwa takatifu na Wabalinese wengi.