Nigeria yaharibu hekta 255 za mimea ya bangi
Upandaji na utumizi wa bangi umeongezeka katika nchi hiyo katika miaka ya hivi karibuni, licha ya kuwa ni kinyume cha sheria.