Watu 17 wameuawa na wengine 59 wajeruhiwa katika mlipuko uliotokea magharibi mwa Ghana
Ajali ilihusisha lori lililokuwa likisafirisha vilipuzi vya kampuni ya uchimbaji madini, pikipiki na gari.