“Hatutakubali kushinikizwa kumuachilia Conde.” Luteni Kanali Mamady Doumbouya
Rais wa Ivory coast, Alassane Ouattara,na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo walimtembelea kiongozi wa mapinduzi na junta Mamady Doumbouya,mjini Conakry…
Rais wa Ivory coast, Alassane Ouattara,na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo walimtembelea kiongozi wa mapinduzi na junta Mamady Doumbouya,mjini Conakry…
Kutoka Afrika magharibi, Burkina Faso imekuwa na mapinduzi mengi yaliyofaulu. Serikali za Burkina Faso zimepinduliwa mara saba na jaribio moja ambalo halikufaulu.